Hawa ni watumishi wetu wa idara ya dharula , wakiwa na nyuso za furaha na utayali wa kuwahudumia wagonjwa. ...Read more
Huduma zinazotolea ni:-
KLINIKI YA NJE
Kliniki ya kuona wagonjwa wa nje hufanyika mara mbili kwa wiki, kila Jumanne na Alhamis kuanzia saa 2 na nusu asubuhi mpaka saa tisa na nusu mchana.
Kliniki hii inahudumia wagonjwa wote wanaotoka nyumban...
readmoreIdara ya upasuaji ni moja ya idara kuu za Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula,Historia ya idara hii inaenda pamoja na historia ya hospitali ambayo ilianzishwa kama kituo cha kutolea huduma kwa majeruhi wa vita vya ukombozi vilivyoongozwa na chama cha FRELIM...
readmore- No records found
Monday
- From 09:00 to 10:00
- From 07:00 to 08:30
Tuesday
- Kliniki ya Magonjwa ya uzazi na Akina mama From 08:30 AM to 03:30 PM
- Kliniki ya Ugonjwa wa Shinikizo la Damu From 11:30 AM to 06:30 AM
- Kliniki ya ugonjwa wa kisukari From 06:00 AM to 11:30 AM
- Kliniki ya magonjwa ya upasuaji From 09:30 AM to 03:30 PM
- Kliniki ya magonjwa ya Afya ya akili From 09:30 AM to 03:30 PM