Kliniki ya Ugonjwa wa Shinikizo la Damu

Posted on: January 30th, 2023

Hospitali ya mkoa wa mtwara inatoa huduma za kliniki za matatizo ya shindikizo la damu na sukari katika chumba namba 5 na chumba namba 3