Ukaribisho
Dr. Lobikieki kissambu
Mganga mfawidhi ligula hospital
Karibu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa mtwara ( ligula ) , tumejitolea kutoa huduma bora za afya kwa wateja wetu. Hospitali hutoa huduma maalum na ya jumla za kitabibu , masaa 24 kwa wagonjwa wa nje na wagonjwa ndani . Uwezo wa vitanda ni 250 na watumishi wa taaluma za afya 270 zikiwemo madaktari bingwa wa fani za upasuaji na magonjwa ya kina mama , madaktari , wauguzi na wakunga waliosajiliwa, wafamasia, wa teknolojia na watumishi wengineo