All Clinics

Kliniki ya kuona wagonjwa wa nje hufanyika mara mbili kwa wiki, kila Jumanne na Alhamis kuanzia saa 2 na nusu asubuhi mpaka saa tisa na nusu mchana.

Kliniki hii inahudumia wagonjwa wote wanaotoka nyumbani au waliopewa rufaa kutoka vituo vya afya vya ch...

tuna toa huduma za kliniki chumba namba 5  na chumba namba 13 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 9 kamili mchana 

we offer diabetic clinic services every Thursday from 9:00 a.m. to 02:30 p.m.