mtwara regional referral hospital
(ligula RRH)

Huduma zetu


Huduma zinazotolea ni:-

KLINIKI YA NJE

Kliniki ya kuona wagonjwa wa nje hufanyika mara mbili kwa wiki, kila Jumanne na Alhamis kuanzia saa 2 na nusu asubuhi mpaka saa tisa na nusu mchana.

Kliniki hii inahudumia wagonjwa wote wanaotoka nyumban...

readmore

Idara ya upasuaji ni moja ya idara kuu za Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula,Historia ya idara hii inaenda pamoja na historia ya hospitali ambayo ilianzishwa kama kituo cha kutolea huduma kwa majeruhi wa vita vya ukombozi vilivyoongozwa na chama cha FRELIM...

readmore

Maabara ya rufaa ya hospitali ya mkoa Mtwara chini ya Serikali na ambayo hutoa huduma bora za afya, utafiti na mafunzo ya maabara katika masomo ya afya.

Menejimenti ya Maabara ya Mkoa Mtwara na wafanyikazi wamejitolea katika utekelezaji wa Mfumo wa Usi...

readmore

QUALITY MEDICINES BY PROFESSIONAL PERSONNEL

Manned by highly qualified professional staff with specialized certifications, The Ligula Hospital pharmacy prides in the quality of professional services offered to clients.

The pharmacy is committed to p...

readmore
  • Tunalaza na tunatibu magonjwa ya watoto
  • Upimaji wa TB
  • Upimaji wa VVU kwa wazazi na watoto
  • kliniki ya magonjwa ya nje kila Jumanne na Alhamisi
  • Tuna Screen/Kupima na Kutibu unyafuzi na utapia mlo
  • Tunatoa ushauri kwa watoto waliofanyiwa ukatili ...
readmore

IDARA YA RADIOLOJIA

       MALENGO YETU

  • Kutoa huduma za kisasa na zinazoendana na wakati
  • Kuhakikisha tunafikia malengo yetu kwa kutoa huduma bora na salama
  • Kuhakikisha tunatoa huduma bila mipaka kwa kutumia teknolojia ya kisasa

HUDUMA ZI...

readmore

Tunatoa ushauri nasaha na upimaji wa VVU

-Tupo kwenye jengo la OPD karibu na dirisha la malipo

-Muda kazi Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja na nusu asubuhi mpaka tisa na nusu mchana.



readmore

Tunatoa huduma za uchunguzi na matibabu ya kifua kikuu bure 

readmore

Huduma zetu

  • Ushauri
  • Kusafisha jino hadi kwenye mizizi na kuziba
  • Kufanya meno kuwa meupe
  • Crown and bridges
  • Upangaji wa meno
  • Kusafisha meno
  • Kuziba meno
  • Huduma za dharura
  • Meno ya bandia
  • Upasuaji wa kinywa na meno
  • Huduma za meno kwa ...
readmore

HUDUMA:

 - Matibabu ya Viungo vya mwili - watoto na watu wazima                                      

 - Kuthibiti Maumivu na Ulemavu

 - Mazoezi tiba

 -Ushauri na Elimu ya Afya

Muda wa Kazi

 -Jumatatu hadi Ijumaa , saa 07:30 asubuhi hadi...

readmore

Tunatoa huduma kwa kutumia bima zifuatazo

   NHIF , AAR , STRATEGIES , JUBILEE, RESOLUTION NA iCHF (CHF iliyoboreshwa)


readmore
  • Tunatoa elimu ya Afya kuhusu madawa ya kulevya na magonjwa ya akili
  • Utoaji wa dawa za kifafa , Sonoma (msongo wa mawazo) na Magonjwa mengine ya akili.
readmore