mtwara regional referral hospital
(ligula RRH)

Ukaribisho

profile

Dr. Lobikieki kissambu
Mganga mfawidhi ligula hospital

Karibu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa mtwara ( ligula ) , tumejitolea kutoa huduma bora za afya kwa wateja wetu. Hospitali hutoa huduma maalum na ya jumla za kitabibu , masaa 24 kwa wagonjwa wa nje na wagonjwa ndani . Uwezo wa vitanda ni 250 na watumishi   wa taaluma za afya ...

Read more

Huduma zetu All


Huduma zinazotolea ni:-

KLINIKI YA NJE

Kliniki ya kuona wagonjwa wa nje hufanyika mara mbili kwa wiki, kila Jumanne na Alhamis kuanzia saa 2 na nusu asubuhi mpaka saa tisa na nusu mchana.

Kliniki hii inahudumia wagonjwa wote wanaotoka nyumban...

readmore

Idara ya upasuaji ni moja ya idara kuu za Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula,Historia ya idara hii inaenda pamoja na historia ya hospitali ambayo ilianzishwa kama kituo cha kutolea huduma kwa majeruhi wa vita vya ukombozi vilivyoongozwa na chama cha FRELIM...

readmore

Matukio All

  • No records found

Habari mpya All

Muda wa Kuona Wagonjwa

Monday

  • From 09:00 to 10:00
  • From 07:00 to 08:30

Tuesday

Kliniki za Leo All

health education All

Ministry Content All

Matangazo All