Tiba ya Viungo na Mazoezi (Physiotherapy)
Posted on: December 22nd, 2024HUDUMA:
- Matibabu ya Viungo vya mwili - watoto na watu wazima
- Kuthibiti Maumivu na Ulemavu
- Mazoezi tiba
-Ushauri na Elimu ya Afya
Muda wa Kazi
-Jumatatu hadi Ijumaa , saa 07:30 asubuhi hadi 03:30 alasiri