Kinywa na Meno
Posted on: December 22nd, 2024Huduma zetu
- Ushauri
- Kusafisha jino hadi kwenye mizizi na kuziba
- Kufanya meno kuwa meupe
- Crown and bridges
- Upangaji wa meno
- Kusafisha meno
- Kuziba meno
- Huduma za dharura
- Meno ya bandia
- Upasuaji wa kinywa na meno
- Huduma za meno kwa watoto
MUDA WA KAZI
Jumatatu mpaka ijumaa 07:30 asubuhi mpaka 15:30 mchana
Kama kuna mgonjwa wa dharula anahudumiwa muda wowote.