mtwara regional referral hospital
(ligula RRH)

Ushauri nasaha na Upimaji VVU

Posted on: February 5th, 2025

Tunatoa ushauri nasaha na upimaji wa VVU

-Tupo kwenye jengo la OPD karibu na dirisha la malipo

-Muda kazi Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja na nusu asubuhi mpaka tisa na nusu mchana.