Tiba ya watoto
Posted on: December 22nd, 2024- Tunalaza na tunatibu magonjwa ya watoto
- Upimaji wa TB
- Upimaji wa VVU kwa wazazi na watoto
- kliniki ya magonjwa ya nje kila Jumanne na Alhamisi
- Tuna Screen/Kupima na Kutibu unyafuzi na utapia mlo
- Tunatoa ushauri kwa watoto waliofanyiwa ukatili (VAC) na kuwasaidia kupata huduma stahiki.
Muda wa kazi ni Masaa 24