mtwara regional referral hospital
(ligula RRH)

objective

LENGO

Kuboresha hali ya maisha kwa watu wote wa mkoa wa Mtwara kwa kuimarisha afya, kupunguza hatari ya magonjwa na matukio ya vifo vya mapema na hivyo kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya mkoa wa mtwara.