Huduma za X-ray , Ultrasound na Kipimo cha moyo(ECG)
Posted on: December 22nd, 2024IDARA YA RADIOLOJIA
MALENGO YETU
- Kutoa huduma za kisasa na zinazoendana na wakati
- Kuhakikisha tunafikia malengo yetu kwa kutoa huduma bora na salama
- Kuhakikisha tunatoa huduma bila mipaka kwa kutumia teknolojia ya kisasa
HUDUMA ZINAZOTOLEWA IDARA YA RADIOLOJIA
Vipimo vyote ambavyo havitumii dawa vinapatikana kwa masaa 24 ya siku.
Vipimo vinavyohitaji dawa vinafanyika kwa miadi
1.Ultrasound
2.X-ray
3.Electro
ULTRASOUND
- Idara ina mashine yenye uwezo wa kufanya vipimo vyote vya kawaida na maalum.
- Wataalamu wakutoa huduma hizi wapo masaa 24, ila kwa vipimo maalum vinafanyika kwa miadi
X-RAY
- Vipimo vyote vya kawaida vinafanyika masaa 24, mfano vipimo vya mifupa na kifua ila vya kesi maalum vinafanyika kwa miadi